Zenab Issa Oki Soumaïne : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Zenab Issa Oki Soumaïne''' (aliyezaliwa 30 Agosti 1986) ni rubani na mwanamke wa kwanza kutoka Chad kuwa nahodha wa ndege. == Maisha binafsi == Oki alihitimu nakupata stashahada ya baccalaureate mwaka 2003, na mwaka 2005 akaanza masomo yake huko Sabangali kwa shahada ya fedha.<ref>{{Cite web|url=http://www.interafriquenews.com/zenab-issa-oki-soumaine-premiere-commandante-de-bord-tchadienne/|title=Zenab Issa Oki Soumaïne, la première commandante...'
 
Rescuing 2 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.9.5
Mstari 3: Mstari 3:


== Maisha binafsi ==
== Maisha binafsi ==
Oki alihitimu nakupata stashahada ya baccalaureate mwaka 2003, na mwaka 2005 akaanza masomo yake huko Sabangali kwa shahada ya fedha.<ref>{{Cite web|url=http://www.interafriquenews.com/zenab-issa-oki-soumaine-premiere-commandante-de-bord-tchadienne/|title=Zenab Issa Oki Soumaïne, la première commandante de bord tchadienne|last=InterAfrique|date=2017-05-17|website=InterAfrique/Rebranding Africa Media|language=fr-FR|access-date=2020-03-03}}</ref> Baadaye, aliamua kuingia katika taaluma ya angani na leseni yake ya kwanza ya rubani alipewa huko [[Miami]] kwa ndege ya Hawker 900XPI.<ref>{{Cite web|url=https://www.africatopsuccess.com/zenab-issa-oki-soumaine-1ere-femme-commandante-de-bord-au-tchad/|title=Zenab Issa Oki Soumaïne, 1ère femme commandante de bord au Tchad|last=|first=|date=2020-02-14|website=Africa Top Success|language=en-US|archive-url=|archive-date=|access-date=2020-03-03}}</ref> Tarehe 3 Mei 2017, Oki alipandishwa cheo kuwa nahodha, hivyo kuwa mwanamke wa kwanza kutoka Chad kuwa nahodha wa ndege.<ref name=":0">{{Cite web|url=https://www.presidence.td/prd/fr-nws-385-AVIATION_CIVILE_UNE_PREMIERE_AU_TCHAD_.html|title=Site Officiel de la Présidence de la République du Tchad {{!}} AVIATION CIVILE : UNE PREMIERE AU TCHAD !|website=www.presidence.td|access-date=2020-03-03}}</ref> Aliendelea na masomo katika Chuo cha Marubani cha [[Ethiopia]] na alimaliza masaa 1500 ya kuruka kabla ya kuhitimu.<ref name=":0" /> Katika sherehe ya kuhitimu kwake, Mke wa Rais wa Chad, ''Hinda Deby Itno'' aliwaomba waliohudhuria kuinuka na kumshangilia Oki.<ref name=":0" /> Sherehe ilifanyika katika hoteli ya Hilton huko [[N'Djamena]].<ref name=":1">{{Cite web|url=https://tchadinfos.com/iyalat/iyalat-zenab-issa-oki-soumaine-1ere-femme-tchadienne-commandante-de-bord/|title=Zenab Issa Oki Soumaine, 1ere femme tchadienne commandante de bord|last=|first=|date=|website=|archive-url=|archive-date=|access-date=}}</ref> Oki alifanya kazi katika shirika la ndege la Burkina kabla ya kujiunga na floti ya anga ya rais huko Chad.<ref name=":0" /> Mwaka 2019, aliajiriwa na rais wa Chad kama rubani.<ref>{{Cite web|url=https://www.portailafrique.fr/ces-africaines-qui-reussissent-dans-le-monde-de-laviation/|title=Ces Africaines qui réussissent dans le monde de l'aviation|date=2019-05-23|website=Portail Afrique!|language=fr-FR|access-date=2020-03-03}}</ref> Mafanikio yake yanachukuliwa kama mfano kwa wanawake vijana wengine kutoka Chad.<ref name=":1" />
Oki alihitimu nakupata stashahada ya baccalaureate mwaka 2003, na mwaka 2005 akaanza masomo yake huko Sabangali kwa shahada ya fedha.<ref>{{Cite web|url=http://www.interafriquenews.com/zenab-issa-oki-soumaine-premiere-commandante-de-bord-tchadienne/|title=Zenab Issa Oki Soumaïne, la première commandante de bord tchadienne|last=InterAfrique|date=2017-05-17|website=InterAfrique/Rebranding Africa Media|language=fr-FR|access-date=2020-03-03|archive-date=2017-11-03|archive-url=https://web.archive.org/web/20171103143441/http://www.interafriquenews.com/zenab-issa-oki-soumaine-premiere-commandante-de-bord-tchadienne/|dead-url=yes}}</ref> Baadaye, aliamua kuingia katika taaluma ya angani na leseni yake ya kwanza ya rubani alipewa huko [[Miami]] kwa ndege ya Hawker 900XPI.<ref>{{Cite web|url=https://www.africatopsuccess.com/zenab-issa-oki-soumaine-1ere-femme-commandante-de-bord-au-tchad/|title=Zenab Issa Oki Soumaïne, 1ère femme commandante de bord au Tchad|last=|first=|date=2020-02-14|website=Africa Top Success|language=en-US|archive-url=|archive-date=|access-date=2020-03-03}}</ref> Tarehe 3 Mei 2017, Oki alipandishwa cheo kuwa nahodha, hivyo kuwa mwanamke wa kwanza kutoka Chad kuwa nahodha wa ndege.<ref name=":0">{{Cite web|url=https://www.presidence.td/prd/fr-nws-385-AVIATION_CIVILE_UNE_PREMIERE_AU_TCHAD_.html|title=Site Officiel de la Présidence de la République du Tchad {{!}} AVIATION CIVILE : UNE PREMIERE AU TCHAD !|website=www.presidence.td|access-date=2020-03-03|archive-date=2019-11-17|archive-url=https://web.archive.org/web/20191117233304/http://www.presidence.td/prd/fr-nws-385-AVIATION_CIVILE_UNE_PREMIERE_AU_TCHAD_.html|dead-url=yes}}</ref> Aliendelea na masomo katika Chuo cha Marubani cha [[Ethiopia]] na alimaliza masaa 1500 ya kuruka kabla ya kuhitimu.<ref name=":0" /> Katika sherehe ya kuhitimu kwake, Mke wa Rais wa Chad, ''Hinda Deby Itno'' aliwaomba waliohudhuria kuinuka na kumshangilia Oki.<ref name=":0" /> Sherehe ilifanyika katika hoteli ya Hilton huko [[N'Djamena]].<ref name=":1">{{Cite web|url=https://tchadinfos.com/iyalat/iyalat-zenab-issa-oki-soumaine-1ere-femme-tchadienne-commandante-de-bord/|title=Zenab Issa Oki Soumaine, 1ere femme tchadienne commandante de bord|last=|first=|date=|website=|archive-url=|archive-date=|access-date=}}</ref> Oki alifanya kazi katika shirika la ndege la Burkina kabla ya kujiunga na floti ya anga ya rais huko Chad.<ref name=":0" /> Mwaka 2019, aliajiriwa na rais wa Chad kama rubani.<ref>{{Cite web|url=https://www.portailafrique.fr/ces-africaines-qui-reussissent-dans-le-monde-de-laviation/|title=Ces Africaines qui réussissent dans le monde de l'aviation|date=2019-05-23|website=Portail Afrique!|language=fr-FR|access-date=2020-03-03}}{{Dead link|date=April 2024 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref> Mafanikio yake yanachukuliwa kama mfano kwa wanawake vijana wengine kutoka Chad.<ref name=":1" />





Pitio la 16:53, 25 Aprili 2024

Zenab Issa Oki Soumaïne (aliyezaliwa 30 Agosti 1986) ni rubani na mwanamke wa kwanza kutoka Chad kuwa nahodha wa ndege.


Maisha binafsi

Oki alihitimu nakupata stashahada ya baccalaureate mwaka 2003, na mwaka 2005 akaanza masomo yake huko Sabangali kwa shahada ya fedha.[1] Baadaye, aliamua kuingia katika taaluma ya angani na leseni yake ya kwanza ya rubani alipewa huko Miami kwa ndege ya Hawker 900XPI.[2] Tarehe 3 Mei 2017, Oki alipandishwa cheo kuwa nahodha, hivyo kuwa mwanamke wa kwanza kutoka Chad kuwa nahodha wa ndege.[3] Aliendelea na masomo katika Chuo cha Marubani cha Ethiopia na alimaliza masaa 1500 ya kuruka kabla ya kuhitimu.[3] Katika sherehe ya kuhitimu kwake, Mke wa Rais wa Chad, Hinda Deby Itno aliwaomba waliohudhuria kuinuka na kumshangilia Oki.[3] Sherehe ilifanyika katika hoteli ya Hilton huko N'Djamena.[4] Oki alifanya kazi katika shirika la ndege la Burkina kabla ya kujiunga na floti ya anga ya rais huko Chad.[3] Mwaka 2019, aliajiriwa na rais wa Chad kama rubani.[5] Mafanikio yake yanachukuliwa kama mfano kwa wanawake vijana wengine kutoka Chad.[4]


Marejeo

  1. InterAfrique (2017-05-17). "Zenab Issa Oki Soumaïne, la première commandante de bord tchadienne". InterAfrique/Rebranding Africa Media (kwa fr-FR). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-03. Iliwekwa mnamo 2020-03-03. 
  2. "Zenab Issa Oki Soumaïne, 1ère femme commandante de bord au Tchad". Africa Top Success (kwa en-US). 2020-02-14. Iliwekwa mnamo 2020-03-03. 
  3. 3.0 3.1 3.2 3.3 "Site Officiel de la Présidence de la République du Tchad | AVIATION CIVILE : UNE PREMIERE AU TCHAD !". www.presidence.td. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-17. Iliwekwa mnamo 2020-03-03. 
  4. 4.0 4.1 "Zenab Issa Oki Soumaine, 1ere femme tchadienne commandante de bord". 
  5. "Ces Africaines qui réussissent dans le monde de l'aviation". Portail Afrique! (kwa fr-FR). 2019-05-23. Iliwekwa mnamo 2020-03-03. [dead link]